genge

Genge music, or genge, is a genre of hip hop music with additional influences from dancehall music that had its beginnings in Nairobi, Kenya. The name was coined by the producer Clemo and popularized by Kenyan rappers Jua Cali and Nonini who started off at Calif Records, and is commonly sung in Sheng (Swahili slang), Swahili or local dialects. The term genge is a sheng word for "a group or a mass of people".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

    Kila zama na Kitabu chake , na kila linalo kutokea shukuru mungu. Kwa haya yafuatayo tutakukumbuka kwa muda mrefu sana ujao. 1 ) Haki katika kuendesha, kusimamia, kugawa na usambazaji wa maji 2) Jitihada za kutengeneza jamii ya haki. 3) Kurudisha heshima na uwajibikaji wa watumishi wa uma...
  2. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

    Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…