Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala si ukosefu wa watu wenye nia njema; tatizo letu ni mahali tulipoamua kukusanya mamlaka...
Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani...
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
Ameandika Jesse Kwayu:
WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote ni kizazi kinachojulikana kama Generation Z kuingia barabarani nchini Kenya ili kuilazimisha serikali ya nchi hiyo kusikiliza kilio chao kuhusu ongezeko kubwa la kodi kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.