gamondi

Miguel Ángel Gamondi (born 1 December 1963) is an Argentine football manager and former player who manages Tanzanian club Young Africans.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki! Gamondi ni Kocha mwenye...
  2. Nashauri coach Gamondi atupishe

    Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa, Napendekeza Gamondi apishe fasta Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda 1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja. Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass, Ukimbana...
  3. Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  4. Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  5. Gamondi hamalizi huu Msimu. Ama sivyo Uongozi uangalie namna ya kuifanya Yanga ituletee furaha

    Gamondi ana muda mchache sana Yanga. Naona lile wazo kuwa tumwachie yeye ajipange mwenyewe linakuwa gumu sasa. Gamondi alianza kupandisha mabega akidhani yeye ndo yeye. Huyu ataondoka ama sivyo akubali sasa kuwa yeye ni wa kawaida viongozi wanambeba sana kwenye ushindi na michakato yake. Hawezi...
  6. M

    Ni wazi kuwa utawala wa Gamondi na Pep Guardiola umefikia tamati

    Man City na Yanga Afrika ni miongoni mwa timu zenye kiburi na jeuri katika ulimwengu wa Soka nchini Uingereza na Tanzania kwa ujumla. Sasa hivi utawala wao umefikia ukingoni kutokana na kupokea mfululizo wa vipigo kutoka kwa timu kama Bournemouth na Tabora United. Soma Pia: Full Time: Yanga...
  7. TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

    Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko. TFF mtueleze nini kimejificha au...
  8. Gamondi kesho ukiendelea kusikiliza Hip Hop na kutupilia mbali wabana pua,Tabora atakuchezesha amapiano

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
  9. Gamondi ashauriwe aache kiburi na chuki binafsi kwa Wachezaji!

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia! Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita! Binafsi...
  10. Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  11. Leo Bwana Gamondi " Mizimu yake ya Kitaliano" imepanda Kichwani

    Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi. I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and Ancient Mesopotamia. ( They are the descendants od the citizens of Ancient Rome) Moja kati ya...
  12. Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

    "Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi #FutbalPlanetUpdates
  13. Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  14. Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

    Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo ) Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
  15. Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  16. Gamondi anapoelekea kuna siku atampanga RAISI WA yanga Eng kha

    Yaan ya jana yanafurahisha sana Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na ameweka mbili, nakumbushwa DUKE ABUYA ametokea bench ameweka kambani. Uhuni ni nini? Ni...
  17. M

    Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

    Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
  18. M

    Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
  19. GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  20. Gamondi leo afanye umafia huu kwa Vital'O, atumie mfumo wa 4-3-3

    Klabu ya Yanga leo itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya Caf Champions ligi dhidi ya Vital'O ya Burudi mchezo ambao utachezwa katika dimba la Azam Complex Chamazi saa 10 kamili jioni. Kocha mkuu wa Yanga Migeul Gamondi amesema wapo tayari kwa mchezo huo na atafanya kila jambo zuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…