fursa ya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  2. Kusena

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

    WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Manager 📌 Bartender/Counter Staff 📌 Servers/Waitress 📌 Cleaners Vigezo vya Muombaji: ✅...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata iliyo nje ya taaluma yangu

    Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 26 Jina ni Innocent Nyakunga Makazi kwa sasa ni Shinyanga Mjini. Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo na kuhitimu Shahada ya sayansi katika usimamizi wa kodi (BACHELOR OF SCIENCE IN TAXATION) mwaka 2022. Nimefanya internship...
Back
Top Bottom