furaha ya kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania yashika namba 12 kwenye orodha ya nchi 30 ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi duniani

    Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12 30 Unhappiest countries in the world 1. Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ 2. Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ 3. Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง 4. Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ 5. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ 6. Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ 7. Democratic Republic of the...
  2. Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe

    Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda, Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha. Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako. Chagua Vitu ndo vie...
  3. Furaha ya kweli haipo katika kutafuta pesa ukitafuta pesa hautoshiba pesa

    "Money is numbers and numbers never end..." โ€“ Pesa ni kama namba, na namba hazina mwisho. โ€“ Ukiikimbiza pesa tu, kamwe hautaridhika โ€” daima utataka zaidi. "If it takes money to be happy, your search for happiness will never end." โ€“ Kama furaha yako inategemea pesa, basi hutawahi kuwa na...
  4. B

    Furaha ya Kweli haiji kwa ku Boost na Pombe au ulevi. Furaha ya kweli haihitaji Gharama

    True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi. 1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali 2. Watu...
  5. Jifunze kutoa kwa kile kidogo ulicho nacho

    Safari ya kutafuta furaha ya Kweli. RATANJI TATA: Bilionea wa India Ratanji Tata alipoulizwa na mtangazaji wa redio katika mahojiano ya simu: Bwana, unakumbuka nini ulipopata furaha zaidi maishani? Ratanji Tata alisema: Nimepitia hatua nne za furaha maishani, na hatimaye alielewa maana ya...
  6. Hakuna furaha ya kweli anayoipata masikini, umasikini ni nyumba ya huzuni

    Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma. Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ