freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela

    Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Aitaka Mahakama ya Rufani Kuzuia Uchaguzi, Demokrasia imenyongwa

    Mbowe Mwenyekiti wa Chama cba Demokrasia na maendeleo amesema pamoja na ubakaji wa demokrasia ambao unaendelea bado ameshangaa kwanini Mahakama inatoa maamuzi ya kukknda chama na bado Mahaka.a ya Rufani i achelewesha maamuzi kuhusu shauri lililoko Mahakamani. Pamoja na mambo mengine amesema...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo la kawaida katika vyama vyenye nguvu. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya kisiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Ifike mahali Mbowe akae pembeni CHADEMA, aweke hata mtu wake awe anam-monitor kuliko kuendelea kutokuwa relevant

    Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke, Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi. Akiwa kama kiongozi imara...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

    Wakuu, Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates. https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV === Kwahiyo CHADEMA hapa ndio anaenda kuongea Mwenyekiti wa Chama? :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema kwa heshima aliyojijengea kwenye Taifa hili hawezi kwenda CCM ila haridhishwi na Uongozi wa kaka yake Freeman Mbowe

    Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe. Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe yuko wapi?

    Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila 4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitokezeni hadharani mseme Mbowe alipo ana muda mrefu haonekani

    Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe. Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu...
  9. JamiiForums Tanzania Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nenda taratibu, tumia hekima na busara kumaliza tofauti zako na Freeman Mbowe. Vinginevyo mnaiua CHADEMA

    Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki... Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa...
  12. JamiiForums Tanzania Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

    Salaam Wakuu, Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe kati ya Mbowe, Lissu au Rais Samia?

    Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe? Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano? Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano? Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake? Comments ziwe fupi fupi sana.
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe alalamika kuhusu ubakaji wa Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika; "Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 'Kauli ya Mbowe uchaguzi ni Vita yawaibua wananchi, wamtaja Saasisha' - Media mkiwa chawa wananchi watapona?

    Wakuu, Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi? Mnategemewa kuhabarisha umma juu ya yanayotokea na nyie mnaishia kuwa chawa na kupe wapuuzi wananchi watapata taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro source https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
  17. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Freeman Mbowe ni Kiongozi gani mwingine wa Upinzani ana Kipawa, Kipaji na Karama ya Uongozi wa Siasa?!

    Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme Wateule wa Mungu wa Mbinguni Nimeona Kipawa Kipaji na Karama ndani ya Freeman Mbowe pekee katika...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

    Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

    Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya Taifa aliyoihudumu kwa zaidi ya miongo mitatu mapema mwezi ujao. Habari za chini chini toka CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA ina Mashujaa wasiokata tamaa, ni bora tufe tumesimama kuliko tuishi tumepiga magoti!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…