freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

    Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa. Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania. ========================= Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwani Mbowe ni lazima awe mwenyekiti ndo achangie CHADEMA, kwani wote wanaochangia Wana cheo CHADEMA?

    Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria kuwafananisha ving'ang'anizi hawa wa Madaraka

    Ni wamba wawili wenye tabia za mfanano ulio bayana. Wamba hao ni wazi waliingia kwenye Madaraka na kuwa vipenzi wa dhati kwa waliowaongoza katika Vipindi. Tatizo waliamua kubishana na muda! Ukweli ni kwamba, hayupo yeyote awaye aliyeshindana na muda na alifaulu. Muda wakati wote huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Andrew Mwambeje: CHADEMA imefika hapa si kwa sababu ya Mbowe wala pesa zake, bali ni juhudi za wanachama wote

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe akishindwa uchaguzi atabaki kama mjumbe wa kamati kuu. Je Tundu Lissu?

    Sijui katiba inasemaje imenshtuaa Leo wakati Odemba WA Star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo Vipi Mbowe MH akishindwa Itakuwaje? MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu Alipoulizwa vipi kuhusu Tundu Lissu akishindwa akajibiwa atabaki kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

    Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama. Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA "Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hoja 8 kwanini Mbowe anafaa kuchaguliwa tena Mwenyekiti CHADEMA

    1. Uzoefu wa Uongozi Ufafanuzi: Mbowe ana uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi wa CHADEMA, akiliongoza chama kupitia changamoto mbalimbali za kisiasa na kuhakikisha kinaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania. Uzoefu huu unamuwezesha kushughulikia masuala magumu kwa ufanisi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe awamu hii tumekukataa, sababu tunazo. Ukipumzika tutakuheshimu ila uking'ang'ania tunakukumbusha hatutokuwa sehemu ya Chadema utakayoongoza

    Sababu zetu ni zile zile. 1. Hatujui kwanini unagombea awamu hii. Huna ilani wala vipaumbele! Tutakupima vipi? 2. Umeishiwa mbinu na hilo linaonekana waziwazi kwenye muelekeo wa wanachama. 3. Huna tena ushawishi ukilinganisha na wengine. 4. Una harufu ya kuhongwa na CCM. Unaonekana pasipo...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na kwa vyovyote vile atafedheheka sana hususani kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa Januari 21

    My friends, ladies and gentleman, Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba, Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025. Hawezi kumshinda kwa kura za...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Ni kweli tutanyukana, na tukimaliza kunyukana tukutane kwenye box

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono. Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

    BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Kuna kitu nataka nikisukume, wanaotamani nipumzike huruma inatoka wapi?

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa kwenye mahojiano na BBC amesema; "Leo Mbowe wa 2025 nina uwezo mkubwa wa kiakili, uzoefu wa kunitosha, nguvu, lakini zaidi nina adhma, dhamira, nina ndoto, nina ndoto ninayotaka kuifikia, kuna kitu nataka nikisukume. Utafika tu wakati ambako...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo 14 yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 34 CHADEMA

    20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani. Ameshindwa kulinda kura za Watanzania. Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki. Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine. Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno picha hii

    Anza na “Mwamba…” ILANI: Msiwe siriasi sana jamani. Ila, pichani ni Freeman Mbowe (CHADEMA) akiwa na Kijah Yunus (CCM/Clouds Media Group)
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Onesmo Mushi: Kwanini Mbowe hapaswi kupewa uongozi tena?

    "Bila shaka hii ni kwa sasa, vinginevyo labda kwa siku za usoni." Hoja hupingwa kwa hoja. Anaandika msomi, tukisubiria za kina Sugu: "Ubunifu wa Mbowe miaka ya nyuma ulikuwa asset kubwa kwa chama. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni UBUNIFU huu umeonekana kufikia plateau, jambo linalokigharimu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

    Wakuu Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini amekua akiendesha vikao vya siri vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bila kuutarifu...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe hatukutaki tena hilo elewa. Ni ajabu unafanya mahojiano masaa manne hukosoi kabisa utawala wa Samia badala yake unausifia! Madhara ya asali hayo

    Mwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali? Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe zaidi ya kulalamika na kuonesha wewe ni 'king'ang'a' kila siku kwenye press una mikakati gani ya kuifanya CHADEMA iwe moto?

    Wakuu, Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi atakapoingia, etc. Ila ukifika kwa Mbowe, ni malalamiko mwanzo mwisho. Mimi nimekilea CHADEMA toka...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Uhusiano wa Mbowe na Lissu ni wa Kinafiki au Mkakati wa Kisiasa?

    Kwa kuangalia jinsi Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, wanavyoishi na kushirikiana kisiasa, ni dhahiri kwamba kuna hali ya kutatanisha. Naamini maisha wanayoonyesha hadharani ni ya kinafiki, ambapo kila mmoja anamtamani mwenzake "aingie kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…