fomu za ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    GE2025 INEC yawaita wagombea ubunge, udiwani kuchukua fomu

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wagombea ubunge na udiwani waliopitishwa na vyama husika, kufika kwa wasimamizi wa uchaguzi kuchukua fomu za tume hiyo.
  2. and 998 others

    Dkt. Bashiru, Dkt. Chamuriho & Prof. Manya mbona hawajachukua Fomu za Ubunge 2025-30? Au wanasubiri tena Uteuzi?

    Wasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wagombea 174 wamechukua fomu za ubunge Kigoma

    Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu...
  4. Waufukweni

    GE2025 Amos Makalla: Wanachama 4,109 wamechukua Fomu za Ubunge CCM, Bara na Zanzibar

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kupitia chama hicho. Akizungumza leo akiwa Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Makala amesema: "Kwa takwimu...
  5. B

    PreGE2025 CCM yatafuta KIKI uchukuaji wa fomu za ubunge ni sehemu ya contents za chama

    Mambo vp wakuu.. Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM.. Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za kufanya watu wafatilie yanayoendelea kwenye chama.. Kwa lugha ya mitaani tunasema chama kimetafuta...
  6. M

    GE2025 Kama kuna Suprise ya kuisimamisha dk 5 ni kwa CHADEMA kutanganza wote kujiunga na CCM na kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM

    Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
  7. Yoda

    Ni kweli wanaochukua fomu za ubunge chama tawala wengi hawako serious kuupata ubunge wenyewe ila ni mkakati tu wa kisiasa?

    Niliwahi kusikia watu wengi wanaochukua fomu za kugombea iwe ubunge wa Tanzania, Africa Mashariki, uspika au hata vyeo vikubwa ndani ya CCM huwa hata hawaamaanishi kupata hizo nafasi kwa wakati huo. Kwamba wengi wa watia nia huwa wanajua wazi hawawezi kutoboa mbele ya vigogo wanaojulikana mapema...
Back
Top Bottom