field force unit

A field force in British, Indian Army and Tanzanian military parlance is a combined arms land force operating under actual or assumed combat circumstances, usually for the length of a specific military campaign. It is used by other nations, but can have a different meaning.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    GE2025 Kamanda Chilya: FFU si ‘Fanya Fujo Uone’, huo si utendaji wetu wa kazi

    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya, ameeleza kuwa kuna dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa Watanzania kuhusu Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Field Force Unit (FFU), ambacho watu wengi wanakiita kwa jina la 'Fanya Fujo Uone'. Amesema dhana hiyo ya 'Fanya Fujo Uone' si sahihi, kwani...
Back
Top Bottom