==
Katika sekta ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa miongozo ya kuyawezesha makundi mbalimbali ya jamii kuimarisha uwezo wao wa kushiriki shughuli za maendeleo na kuleta usawa wa kiuchumi. Katika kipindi hiki, kumekuwa na ongezeko la vikundi vinavyonufaika na...
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika...
Halmashauri ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ili kusaidia ruzuku kwa kaya masikini wilayani humo.
Mratibu wa TASAF wa Halmashauri ya Chemba, Simon Butondo, alieleza kuwa kati ya fedha hizo, Shilingi bilioni 2.1 zilitengwa...
Dkt Doroth Gwajima ni Kipenzi cha watu wa mitandaoni maana anajibu kistaarabu na anachukua hatua Kwa Malalamiko anayoyapata mitandaoni.
Aje atufafanulie kama madai ya hawa Wananchi wa Kasulu ni kweli au uzushi? Kama ni kweli, sharti la kuwa na kazi ya chama liko kwenye Sera ya uchumi au sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.