Mshambuliaji wa Liverpool, Federico Chiesa, mwenye umri wa miaka 26, huenda akaondoka klabuni hapo Januari iwapo atakosa muda wa kutosha wa kucheza baada ya kurejea kutoka kwenye majeraha.
Winga wa zamani wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye mazungumzo na angalau klabu mbili za Ligi...