fasta

FASTA is a DNA and protein sequence alignment software package first described by David J. Lipman and William R. Pearson in 1985. Its legacy is the FASTA format which is now ubiquitous in bioinformatics.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu? Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo. Mnakosa fedha
  2. Tujuane ambao tukivurugwa na mapenzi bajeti ya pesa inavurugika , matumizi yanazidi na tabia zngine ikiwepo na kuvuta pisi mpya fasta.

    Helllo, Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out...
  3. Anayeweza kutunga wimbo hit song anahitajika fasta

    Kama unakipaji cha kutunga nyimbo tuwasiliane kuna Beat ipo inatakiwa kutungiwa nyimbo kali yenye melody nzuri kifupi HIT SONG. Hakikisha unaujua muziki na unajua muziki unaotakiwa kwa sasa kwenye soko, hakikisha unajua kutunga melody kali. Nahitaji HIT SONG. Karibu tufanye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…