faris buruhan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkarahacha

    Faris Buruhan aangukia pua kura za maoni CCM Bukoba Vijijini ,Dkt Rweikiza apeta

    Ndg,Faris Buruhan ameshindwa katika kura za maoni Bukoba Vijijini kwa kupata kura 4619 nyuma ya mbunge aliyepo Dkt Jasson Rweikiza aliyepata kura 6465 .
  2. Nkarahacha

    PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  3. Papaa Mobimba

    PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Vijana acheni kuwa wasindikizaji, gombeeni nafasi uchaguzi mkuu 2025

    FARIS BURUHANI: VIJANA ACHENI KUTOA SADAKA TU JIFUNZENI KUPOKEA PIA*📌 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amewaasa vijana wa mkoa huo kujipanga kimkakati kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ndugu Faris ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na...
  4. Inside10

    Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  5. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Kagera: Mtaa hauhitaji digrii na PHD na watu wenye vyeti pekee, mtaa unahitaji ujuzi

    Wakuu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amewataka vijana wanaopata mafunzo ya ufundi katika vyuo vya VETA kutumia vyema ujuzi wao, akisisitiza kuwa ajira mtaani zinategemea zaidi ujuzi na utendaji kazi badala ya vyeti vya elimu ya juu...
  6. Nkarahacha

    Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyetangaza kupoteza watu afiwa na baba mzazi

    Alietangaza kuanza kuwapoteza watu afiwa na baba yake mzazi. Mpe neno la faraja Soma Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
  7. D

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
Back
Top Bottom