faragha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Je, VPN ni kweli inalinda faragha yako? Au ni mbinu ya kibiashara inayouzwa kwa hofu badala ya ukweli?

    Katika miezi ya karibuni, Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kusitisha au kudhibiti upatikanaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii kama Telegram na X (zamani Twitter) hususan nyakati za uchaguzi, maandamano, au mijadala mikali ya kisiasa. Hatua hizi huchukuliwa kwa jina la “usalama...
  2. Baba Kisarii

    Tunza siri za faragha yako na mpenzi wako usije ukaibiwa

    Hii inahusu wanaume japo yaweza kuwahusu na wanawake pia. Usifanye huu ujinga baada ya kuonja utamu na mpezi wako - amekupa utamu faragha mkiwa wawili tu yaani wewe na yeye, kisha ukamgeuka na kwenda kuwasimulia watu wako wa karibu, mabest zako, ndugu wa udugu, na washirika wengine wa kiume na...
Back
Top Bottom