Hello wanaJamiiforums.
Najua wengi wetu tumeanza mapenzi toka tukiwa na umri wa kubalehe.
Je paka leo katika maisha yako ya mapenzi, fantasy zako ni zipi?
Je umekwisha itimiza hizoo fantasy? na kama bado
Je utakuja ku zitimiza siku za usoni?
Wengine fantasy zao ni kudate makabila tofauti...