falsafa

  1. Bwege: Katiba, Falsafa ya vyama vyote zipo vizuri ila shida ni viongozi wa vyama wanapenda kusikilizwa wao

    Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara "Bwege kupitia ACT Wazalendo ameweka wazi kuondoka kwake kwenye chama hicho na kuhamia CHADEMA akisema viongozi wanashindwa kufuata Katiba na falsafa iliyopo Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Bwege alikihama ACT Wazalendo siku chache...
  2. Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  3. Rais Samia haamini kabisa falsafa za Nyerere

    Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana nguvu kuliko hata mkuu wa majeshi huyu generali wa mchongo.
  4. MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda.

    Hatimaye Kitabu cha MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda kimetoka katika mfumo wa nakala tete (Soft Copy). Kitabu hiki kimesheheni mambo mengi unayoyajua na usiyoyajua kuhusu Dr. John Pombe Magufuli na falsafa ya MAGUFULISM kwa Ujumla...
  5. Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  6. Wanaoshabikia uchawa wajue uchawa ni ukosefu wa falsafa ya kutawala

    Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza. Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake, alikuwa na falsafa ya uongozi tofauti na waliomfuata wakatawala bila falsafa. Ili kuongoza, lazima...
  7. Falsafa ya Samuya ya uchawa naomba aifahamuye anielimishe hapa tafadhali

    Marehemu John Magufuli alikuja na falsa ya hapa kazi na wanyonge. Samuya alikuja na uchawa na kazi iendelee. Je, hii falsafa inamaanisha nini kwako binafsi kama mdau katika taifa lake?
  8. Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  9. GE2025 Kura za wajumbe wa CCM zimepalilia falsafa ya Oktoba tunatiki, Sasa tutatiki kwa Rais Samia, wabunge wa CCM na madiwani wa CCM. Then Day ended well

    Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa. Wajumbe wameshachagua wabunge na...
  10. Tamko rasmi la kujitunuku shahada ya daktari wa falsafa (PhD)

    Mimi Muungwana Kwa heshima na taadhima, najitokeza mbele ya jamii ya wanafalsafa, wasomi, wanasayansi, waandishi, wanafikra, na watafutaji wa kweli, kuwasilisha tamko langu rasmi la kujitunuku Shahada ya Uzamivu – Daktari wa Falsafa (PhD). Si kwa kupitia taasisi yoyote ya kiserikali au chuo...
  11. Binadamu na Nyota: Mwangaza Mfupi Kati ya Giza Mbili?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya kutufurahisha macho? Maswali haya si mapya. Yamechochea fikra za watawala, wanafalsafa, wachawi, manabii na...
  12. Je Wajua: Unaishi katika hali ya upofu kwa takribani masaa mawili kila siku bila kujijua

    Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Kuna jambo moja ambalo halijawahi kunishangaza kama binadamu alivyo na jeuri ya kuamini anajua kila kitu – huku akijua jambo moja tu: kuwa haelewi hata kile anachodhani anakielewa. Kwa miongo mingi tumefundishwa kuwa sisi ni viumbe vya kipekee, tunaoona, tunaoamua...
  13. Tetesi: Nadharia ya "utu wema" toka kwa gwiji la falsafa duniani - Aristotle

    https://www.facebook.com/share/r/196jATvBN Wakati anaichambua Nadharia hii ya "utu wema" alimalizia kwa kusema "Tabia njema ni msingi wa maisha Bora"
  14. Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  15. Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  16. Safari ya Akili Huru: Tafakuri ya Maisha, Fikra na Uhuru wa Ndani

    SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru Na: Mwandishi Wako Swali hilo, japo rahisi kwa matamshi, linatetemesha msingi wa maisha ya kila mmoja wetu. Lakini kwa bahati mbaya, wengi wetu hatupendi kujiuliza. Tunashughulika, tunakimbizana, tunatii... ila hatufikiri. Karibu sana...
  17. O

    Falsafa na Maadili Yanasaidia Nini Kama Wenye Nguvu Hufanya Watakavyo?

    Katika dunia ya leo, ambapo wenye mamlaka hupuuza kanuni na kupata wanachotaka, mtu anaweza kujiuliza. Je, falsafa na maadili yana maana yoyote? Ikiwa ukweli haubadilishi matokeo, kwa nini basi kuushikilia?. Dhana ya “mwenye nguvu ana haki” ni moja ya kauli zinazopingwa mapema kabisa katika...
  18. Falsafa ya jamii na uongozi

    "Pale ambapo taifa linashuhudia kuibuka kwa wanasiasa na viongozi wa dini wenye hulka ya kuropoka, kueneza uongo, na kuchochea hisia bila mantiki, huo ni uthibitisho wa kuwepo kwa changamoto ya afya ya akili katika jamii. Endapo hali hii haitadhibitiwa kwa maarifa na maamuzi magumu, ipo hatari...
  19. Uzi wa nukuu mbali Mbali Za wasanii, Wanasiasa, Wagunduzi, Wanafalsafa

    Habari wakuu. Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
  20. Falsafa ya Mafanikio

    "Utukufu wa sasa usikufanye kusahau mikono iliyoijenga misingi ya mafanikio yako." Alloyce, P.R.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…