excel

Microsoft Excel is a spreadsheet developed by Microsoft for Windows, macOS, Android and iOS. It features calculation, graphing tools, pivot tables, and a macro programming language called Visual Basic for Applications. It has been a very widely applied spreadsheet for these platforms, especially since version 5 in 1993, and it has replaced Lotus 1-2-3 as the industry standard for spreadsheets. Excel forms part of the Microsoft Office suite of software.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutuma sms kutoka excel

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake Nimeshatengeneza excel file yenye collum Jina|Phone number|SMS Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
  2. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuprint data zote kwenye drop down list kwenye excel 2013

    Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia. Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja. Au hata kwa kutumia VBA code azinisaidie then kuziset kwa kuedit sheet ya drop down list na cell...
  3. JamiiForums Tanzania Advanced excel for hrs and admin professionals

  4. JamiiForums Tanzania Masterclass training on financial reporting with advanced microsoft excel

    COURSE DETAILS Step Ahead Financial Consultants (SAFCO) Ltd invites ALL Accountants and Auditors for the Financial Reporting with Advanced MS Excel training scheduled as follows: DATES: 11th November 2020 - 14th November 2020 DAYS: FOUR (4) DAYS TRAINING FROM WEDNESDAY TO SATURDAY...
  5. JamiiForums Tanzania Wachawi wa excel nisaidieni hili zoezi pasua kichwa nawezaje kulifanya

    Habari zenu wakuu, natumaini mu wazima. Kuna zoezi fulani nataka kulirahisisha excel Ni kwamba nina sheet mbili, sheet ya pili ina list ya vitu navyotaka kuviweka kwenye sheet ya kwanza endapo vimeuzika kwa hio siku. kwa sasa nachofanya ni kwamba mfano nimeuza kiberiti, huwa naenda kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii, Kupunguza gharama za ujenzi

    Baada ya kuona watu wengi wanaumiza kichwa juu ya gharama za ujenzi, kuanzia online hadi offline, nimeona kushare uzoefu wangu nanyi ni jambo muhimu.Kabla ya kukupa mbinu , nitangulize ushauri huu. Jambo la muhimu kuliko yote la kuelewa kabla hujaanza ujenzi ni kuwa, ujenzi ni mradi endelevu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…