eneo la shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sonship

    Plot4Sale Eneo la shule linauzwa Goba

    Eneo hili la shule linauzwa Ukubwa wa eka moja na robo Lipo Goba kwa Ndambi Eneo ambalo mteja anaweza kujenga hata apartments kwa Goba zinalipa sana. Hapo ni Goba jirani sana na Mbezi Beach Masana Bei ya kutupa Tsh 650m/- mazungumzo yapo *Lina hati halali Anauza kwa hasara sana ili...
  2. Sonship

    ENEO LA SHULE LINAUZWA AU KUKODISHWA GOBA MATOSA

    ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua. Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya...
  3. Anna Deo

    Eneo la shule linauzwa Dodoma Eneo la Mtumba Mji wa serikali

    Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali. Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000 Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm Ni surveyed pot Fixed Price Interested njoo PM Au +254746360628 only whatsapp Ramani ipo kwenye attachment
  4. N

    Kiwanja cha shule iliyoanza miaka 40 iliyopita, Ngara chatwaliwa.

    Baraza za Ardhi na Nyumba limetoa amri ya kuchukuliwa kiwanja cha michezo na mapumziko cha Shule ya msingi Mukirehe iliyoko wilayani Ngara. Kufuatia uamuzi huo, aliyeshinda kwenye shauri hilo, amejenga uzio kuzuia wanafunzi kutumia kiwanja cha shule hiyo iliuyanza zaidi ya miaka 40 iliyopita...
Back
Top Bottom