elimu ya veta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Elimu ya Veta kuunganishwa na Elimu ya Sekondari

    Nimejaribu kuwaza kwa sauti tu.... Elimu/ujuzi wa veta imekua ni elimu ambayo wengi wanaifata baada ya kuwa wamefanya vibaya kimasomo na mara nyingi baada ya kufeli elimu ya secondari au wengine baada ya kufeli kabisa ki maisha ndio linakua kimbilio la mwisho. Kwa nini Elimu hii ( Ya Veta )...
  2. Mwanamke wa mithali 31

    Naomba kuelekezwa kuhusu VETA Chang'ombe

    Nina mdogo wangu wa kiume ali graduate kidato cha 4 mwaka 2023 alipata division 3. Alipangiwa college kile chuo kipo pale temeke cha utalii ( course ya kuongoza watalii) Niliwaeleza wazazi wangu huyu apelekwe veta wakakataa Bas akaenda kusoma hapo na kamaliza mwaka huu na sasa yupo tu...
  3. Right Marker

    Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Serikali ifike wakati muwaonee huruma Watanzania wenzenu. Mtafanya propaganda za namna hii mpaka lini?

    Itazame hii video halafu jiulize maswali 5 kisha uyatafutie majibu wewe mwenyewe. Serikali inawajibu wa kutoa ajira kwa vijana wote. Ajira kwenye taasisi za kiserikali. Ajira kwenye sekta binafsi Ajira binafsi (kujiajiri). Iwe ajira za serikali, za sekta binafsi au za kujiajiri serikali...
  5. A

    KERO Adha ya kupata leseni kwa wahitimu wa VETA

    Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa kwamba chuo chetu hakijajisajili katika mfumo mpya wa ukataji leseni. Hivyo naomba niripotie hii kwa...
  6. Miguel Felix Gallardo

    Kwanini tangazo la vijana kwenda kupata ujuzi VETA bure kabisa halijapigiwa kampeni?

    Hata humu sijaona wadau wa maendeleo kama LIKUD na wengine team kataa EMS. Mada za kijingajinga ndo zinapewa airtime😀😀😀.Hili taifa limekumbwa na nini???!!!
  7. G

    Degree inagharimu si chini ya milioni 10, kwa hali ya ajira ya sasa siwezi kumsomesha mtu kozi zenye uhitaji mdogo, heri aende veta au nimpe mtaji

    Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini viwango vimetofautiana kwa kozi Kuna kozi kama Bima, Environment, Philosophy, siasa, Business administration, n.k. Ni ngumu kujiajiri na ni nadra kusikia tangazo la ajira. Wakati huo kusomesha mtu degree bila mkopo kinahitajika kiasi cha milioni 10 kwa...
Back
Top Bottom