Ndugu wataalamu, kuna mdogo wangu yuko chuo anaanzisha biashara ya kuuza vitu mtandaoni. Kila kitu tayari hadi usajili wa Brela (kasajili jina la biashara). Ishu ipo kwenye masuala ya TRA, TIN Number n.k. Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa mtu ambaye mauzo yake kwa mwaka ni chini ya milioni 4...