Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI".
Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu
👉Kwakua Rais ni Muislam
👉 Angekua Mkristo...