elimu ya baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Rasmi Baba Levo Ajiunga na MEMKWA (TEWW)

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini Dodoma, kwa lengo la kujiunga na elimu ya Sekondari kwa njia mbadala. Katika ziara hiyo, Mh. Chipando...
  2. W

    GE2025 Mgombea ubunge kigoma Mjini (CCM), Baba Levo asema aliishia darasa la saba ila ataanza QT mwakani (2026)

    Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD. == Katika mahojiano na Charles William kwenye kipindi cha One on One, mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo...
Back
Top Bottom