Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani π nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio π.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa π.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...