edo kumwembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa. =========...
  2. Edo Kumwembe ni mzuri wa kuandika ila sio kwenye TV au redio

    Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida. Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri. Sababu inaonekana huwa anafanya research kabla ya kuandika, lakini kwenye TV na radio si mzuri, hana sauti, anakosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…