dossa aziz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jina la Dossa Aziz Halikuwemo Katika Orodha ya Watunuliwa Medali

    https://youtu.be/8bHn7ojbnlo?si=p3RGwTUvj34OmroN
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Dossa Aziz Jina la Utani Walilompa ni ''Benki"

    Nukuu za Dossa Aziz na Harakati za Uhitaji Dossa Aziz anatajwa kama mtu aliyekuwa na utajiri mkubwa ambao aliutumia kufadhili chama cha TANU na viongozi wake: Dossa kama "Benki": Wakati wa harakati, bili zote za chakula na vinywaji za kamati ya ndani ya TANU katika hoteli ya Princess zilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Taazia: Buriani Mwajame bint Dossa Aziz

    Nukuu za Simanzi na Buriani Mohamed Said anaanza kwa kutoa taarifa ya kifo cha dada yake na kuelezea mazingira ya mazungumzo yao ya mwisho: "Nimefiwa na dada yangu Mwajame Dosa Azizi Wajabe ni mkubwa kwangu mimi naikumbuka kama jana siku nilimtembelea nyumbani kwake Kigamboni ilikuwa mwaka wa...
  4. JamiiForums Tanzania ''Usimuone vile Kambarage ana Kibega'' Dossa Aziz

    Mwalimu Nyerere akisukuma gari pamoja na watu wengine "USIMUONE VILE KAMBARAGE ANA KIBEGA" Dossa Aziz Picha hiyo hapo juu inanikumbusha Jumapili moja miaka mingi iliyopita tumekaa barazani nyumbani kwa Dossa Aziz Mlandizi. Miaka mingi Dossa Aziz na Ally Sykes walikuwa hawajaonana. Niliona...
  5. JamiiForums Tanzania Mwajame Dossa Aziz Anaemeza Urafiki Ndugu Baina ya Baba Yake na Julius Nyerere

  6. JamiiForums Tanzania Dossa Aziz Aliposahauliwa Kupewa Medali 1985

    DOSSA AZIZ ALIPOSAHAULIWA KUPEWA MEDALI 1985 Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Kambarage Nyerere, sasa akijulikana kama Baba wa Taifa, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya medali 3979 kwa Watanzania waliochangia katika maendeleo ya taifa. Kati ya wale ambao walipewa...
  7. JamiiForums Tanzania Asubuhi Moja Kigamboni na Bi. Mwajame bint Dossa Aziz

    Akituelekeza namna ya kufika nyumbani kwake Kigamboni leo asubuhi Bi. Mwajame bint Dossa Aziz akamaliza kwa kusema, "Ukifika hapo utaona kibao kimeandikwa "Mwajame Street." Mpwa wangu Yusuf aliyekuwa ananiendesha akashtuka na kuzungumza na Bi. Mwajame akasema "Mjomba Mtaa una jina lake!"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…