Habari wakuu,
Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa,
Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A.
Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana, hivyo nahitaji chumba kimoja cha kawaida tu Dodoma mjini.
Kiwe Self contained,
Usalama mkubwa...