Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
al jazeera
bbc
cnndocumentarydocumentaryyacnn
hadhi
kuandaa
maana
makala
mauaji
mmoja
msigwa
namna
nyingine
post
post election
ripoti
ripoti yacnn
sana
serikali
tanzania
uandishi
ujinga
upande
uthibitisho
wako
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.