dkt. tulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amkabidhi nyumba ya kuishi mwananchi wa kata ya Ilomba mtaa wa Matonya

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amefanya ziara katika kata ya Ilomba ambapo amewatembelea na kuwapa tabasamu watu wenye ulemavu na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi. Dkt. Tulia amekabidhi...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amkabidhi nyumba mwananchi mwenye uhitaji jimbo la Uyole

    Aprili 2, 2026 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema nyumba zinazojengwa kwaajili ya watu wenye uhitaji zinajengwa kulingana na mahitaji ya familia husika. Dkt. Tulia ameyasema hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia ampa tabasamu mwananchi mwenye ulemavu kata ya Mwakibete

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson imemkabidhi kiti mwendo na mtaji wa shilingi laki tano (Tsh. 500,000/=) Mpoki Abraham anayeishi mtaa wa bombambili kata ya Mwakibete. Mpoki...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia agawa mchele kwa kaya 130 jimbo la Uyole, aahidi kuwapa fedha kwaajili ya mboga siku ya sikukuu

    Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole, ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha wananchi hao kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwa furaha na heshima...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia aahidi ukarabati wa madarasa Uyole

    Akiwa katika Muendelezo wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Uyole, Mgombea ubunge wa jimbo hilo dkt Tulia Ackson ameahidi kuboresha Elimu pamoja na Miundombinu ya barabara kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi Ya CCM Akihutubia Mkutano wa Kampeni katika kata ya Iduda, Dkt Tulia amesema...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea udiwani Ilomba: Dkt. Tulia ni bidhaa adimu duniani Mungu ametusaidia

    Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Ilomba Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Noah Mwakisu awasisitiza wakazi wa Jimbo la Uyole kumuunga Mkono na Kumpa kura za heshima Dkt. Tulia kwani ni bidhaa adimu. Akizungumza Katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Uyole: Dkt. Tulia aahidi kujenga barabara ya lami kata ya Ilomba

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Tulia Ackson ameendelea Na kampeni zake katika Kata Ya Ilomba na Kuahidi Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara,Afya,Elimu na Umeme
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari apitishwa na CHAUMMA kuwania Ubunge Jimbo la Uyole dhidi ya Dkt. Tulia

    Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia anatafuta ushawishi kwa nguvu kupitia mikopo ya asilimia 10

    Wakuu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka vikundi kuwa na Hati Miliki, akisema hazina masharti hayo zaidi ya kuunda vikundi. Dkt.Tulia ameyasema...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Avutiwa na CRDB Bank Marathon Iliyokusanya Bilioni 2 kwa Afya na Jamii

    Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson aitaka Dunia kukabiliana na vikwazo vinavyowakwamisha Wanawake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson afungua kikao cha Jukwa ala Kibunge UN

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa wa Mwaka 2025 kuhusu Maendeleo Endelevu (Parliamentary Forum at the...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia: Mabadiliko sheria za uchaguzi yalihusisha wadau wote

  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Tanzania haiwezi kuwepo bila ya muungano, tuulinde kwa wivu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya Muungano iliyoanzishwa na waasisi wa taifa hilo. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 25...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson kumjengea Nyumba Bibi aliyebakwa na watu wasiojulikana Mbeya

    Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson Ikumbukwe bibi huyo ni moja ya watu wanaoishi katika mazingira magumu ambao walifikiwa na bendera ya Upendo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia Ackson atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Malkia wa Nguvu

    Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba. Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde Tukuyu Mkoani Mbeya na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Mabonde na baadaye kupata elimu ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni jambo gani lililofanyika Mbeya mjini wanaweza kujivunia tangu Dkt. Tulia awe mbunge? anatufaa tena 2025?

    Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2020 Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM alitangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225 akimshinda aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) akipata kura 37,591. Baada ya Dkt. Tulia kuwa mbunge wanaCCM wamekuwa wakijitapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…