Dkt. Tulia alitangaza kugombea usipika GHAFLA akabadili gia angani, sijui nini kilimsibu ila lipo jambo ndani ya CCM lilijitokeza.
Sizungumziii hata like la Majaliwa, maana staki nongwa mimi.
Juzi mume wa Dr Tulia, kaliwa kichwa. Na Rais na hakutoa sababu lakini inasemekana ni upandaji wa...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.