Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
dkt.samiadkt.samiasuluhuhassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
kutoka
muungano
muungano wa tanzania
rais
rais wa jamhuri
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassan
shukrani
suluhu
tanzania
ujumbe
YAH: UTEUZI NA UHAMISHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na uhamisho huo ni kama ifuatavyo:
(i) Dkt. Latifa Mohammed Khamis...
Hongera sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji nchini Tanzania.
Pongezi za dhati kwa hatua hii kubwa na ya kimkakati ya kufanya mazungumzo na mwekezaji Alhaji Aliko Dangote. Hatua hii inadhihirisha...
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA
Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu:
1...
Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kudumisha amani, maadili mema na mshikamano wa kitaifa-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Mpanda-Katavi
🗓️Machi 15, 2026...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza...
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026
———————————————————-...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia.
Baadhi ya media zimempost, ukifatilia sasa comments za wananchi.
Utapata picha nzuri kwanini siku hizi amehamishia majukumu yake Ikulu ndogo ya Tunguu.
Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi.
Mbona sio kitu cha siri?
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
Ujumbe kutoka kwa Mheshimiwa António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 14 Desemba 2025, wakati wa kupokea Ujumbe Maalum kutoka Tanzania.
“Tanzania imekuwa rejea na mfano wa kuigwa katika...
Sekta Madini Kinara Mapato ya Serikali, Kichocheo cha Uchumi, Huduma na Ustawi wa Jamii
Sekta ya Madini imetajwa Kinara katika kuchangia makusanyo ya Serikali, mapato ya wananchi na uwekezaji kwenye huduma za kijamii kama elimu, afya ikichangiwa na mchango wake kwenye Pato la Taifa kutoka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa mara baada ya kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma tarehe 14 Novemba...
#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆
dkt.samiadkt.samiasuluhuhassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
katika
matukio
muhimu
muhtasari
muungano
rais
rais wa jamhuri
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
wiki