dkt. biteko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Kilichomponza Dkt. Biteko ni kusema ukweli kura alizopata ni elfu 7, wakati wenzie waliiba kura vibaya sana

    Kuna huyu jamaa Kumbusho Dawson ametoa sababu za Dotto Biteko kutupwa nje ya baraza la mawaziri ambalo pia ni haramu tu! Dotto Mashaka Biteko ameachwa nje ya Baraza Jipya la Mawaziri. Dotto Biteko alihudumu kama Naibu waziri Mkuu na waziri wa Nishati kabla ya kutupwa nje ya baraza lililo...
  2. JanguKamaJangu

    Dkt. Biteko: Naipongeza REA kwa kukamilisha mradi wa kufikisha umeme vijiji vyote 12,318 na sasa ni zamu ya vitongoji

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kukamilisha lengo la usambazaji Umeme katika Vijiji 12,318 Nchini na kwa umahiri wake katika kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Ametoa pongezi hizo...
  3. Just Pray

    GE2025 Dkt. Biteko akiomba kura za wajumbe, asema 'Moyoni mwangu ninalo deni kubwa sana la kufanya kazi zaidi'

    Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya kutetea kiti hicho, ameeleza furaha na shukrani aliyonayo kwa Wananchi wa Bukombe kufuatia ushirikiano waliompa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Dkt. Biteko amesema hayo Agosti 2...
  4. JamiiCheck

    Dkt. Biteko: Wanahabari wana kazi ya kupambana na taarifa potofu ili jamii ipate taarifa sahihi

    Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi. Ni muhimu kuthibitisha kila...
  5. Waufukweni

    Dkt. Biteko: Rais Samia anachukizwa Haki za Kidini zikipuuzwa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa. "Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na...
  6. chuchu2020

    Dkt. Biteko azindua mkakati wa taifa wa mawasiliano wa nishati safi ya kupikia

    DKT. BITEKO AZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MAWASILIANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Aagiza usiishie kwenye makabati; ukatekelezwa katika ngazi zote za Serikali/Wadau 📌 Atoa wito kwa vyombo vya Habari kuwa mstari wa mbele uhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema Ajenda ya Rais Samia...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt. Biteko: Milango ya Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana

    "Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake...
  8. PendoLyimo

    Dkt. Biteko: Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kufikia 75% mwaka 2030

    MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO 📌 Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini 📌 Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake 📌 Dkt. Biteko aishukuru Japan kufadhili mradi wa umeme Singida Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
  9. PendoLyimo

    Dkt. Biteko alitaka shirika la maendeleo ya petroli kuongeza kasi ya uendelezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia

    📌 Asema lengo ni kuendelea kuwa na uhakika wa usalama wa nishati nchini 📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050) 📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi Asilia kutopuuzwa 📌 Apongeza Bodi na Menejimenti ya TPDC kwa kuipambanua Tanzania kama kitovu cha...
Back
Top Bottom