dirisha dogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
  2. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nimeota Emmanuel Okwi anatua Simba dirisha dogo

    Usiku wa kuamkia leo, nimepata njozi ya Emmanuel Okwi "Emosting" kutua Simba dirisha dogo la usajili! Sijui hii ndoto ina maana gani?
Back
Top Bottom