dira2050

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Investigation Unit

    David Kafulila: Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja Tanzania tutaitoa Africa kimasomaso ifikapo 2050

    Recall: Akiongea katika kongamano la Dira2050 jijini Mwanza lililoandaliwa na Taasisi ya REDET kwa ushirikiano na PPPC David Kafulila amaesema yafuatayo namnukuu, "Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja hueanda Tanzania tukaitoa Africa kimasomaso...
  2. J

    Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

    Usiondoke JF Rais Samia Suluhu Hassan leo anazindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo utafanyika wakati wa Mkutano wa Tatu wa Taifa wa Dira, na unatajwa kuwa ni tukio kubwa la kihistoria, likiwa ni mara ya...
  3. J

    DIRA2050: Ifikapo mwaka 2050, Muha atatoka Kigoma alfajiri na atakula chakula cha mchana Dar es salaam hivyo kuongeza kasi ya biashara

    Kuelekea 2030 Rais Samia ameboresha miundombinu ya Usafiri na usafirishaji ikiwa ni Nguzo ya Uchumi Shindani hasa kwa kujenga mtandao wa reli ya SGR wenye urefu wa kilometa 2,809 kwa thamani ya $10.4bn au TZS26Trilioni. Serikali ya Rais Samia imejikita katika kuimarisha sekta ya usafiri na...
  4. J

    DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  5. J

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  6. MAISAKI

    SoC04 Vijana Wakitanzania Wapewe Nyumba za Kuanza Maisha

    Binadamu wanamahitaji makuu matatu - chakula/kinywaji, mavazi na makazi. Nyumba sio anasa, bali ni moja ya mahitaji muhimu yanayochochea amani na utulivu, ukuaji wa kiuchumi pamoja na heshima katika jamii. Moja ya fahari kubwa sana ya kuwa Mtanzania ni pamoja na kumiliki nyumba, yaani kujenga...
Back
Top Bottom