Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila ametaja mambo matatu ya msingi yanayopaswa kupewa kipaumbele ili Tanzania ifanikishe Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa mahojiano na kituo cha habari cha ITV katika...
1. Utangulizi wa Dira 2050,
Nitaanza na ukosoaji na baade suluhisho. Ni Maoni yangu, povu ruksa bila matusi humu ndani.
Ukosoaji:
Lugha nzuri lakini ya kisiasa mno: Hii sehemu inaelezea historia ya Tanzania kwa mtazamo wa kusifu tu, bila kuonyesha dosari au changamoto halisi za uongozi kama...
Kila mmoja wetu anastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake, kulindwa na kuhakikishiwa faragha yake.
Hapa niseme tuh chini ya Rais Samia Amefanya na anadelea kutekeleza Dira hii ambayo imezinduliwa itakuwa na Maono chanya kwetu na kila Mmoja wetu yaani Mimi na tunahaki zote za Kuheshika na...
Leo imezinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa.
Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) unapaswa kukua mara 13. Inawezekana, lakini katika Taifa...
Dira ingekuja na Graph na Key performance indicators .Figures na Projection .
Ninachokiona na Maneno Mengi yasiokuwa na scientific back up !
Botswana wana Dira ya Miaka 25 .
Mambo makubwa wanayoweka humo .
Miundombinu ya barabara .
Wanaontesha kila mwaka watajenga km ngapi za barabara ...
Leo tatehe 17/July,nimeshuhudia matusi,kejeli kutoka kwa wana chadema,juu ya mh.mbowe kuhudhuria katika suala ambalo linakwenda kutengeneza hatima ya maisha ya mtanzania kwa miaka 25 ijayo,Mbowe alialikwa na Kitila mkumbo,katika shughuli husika kama mchangiaji mkubwa katika utengenezaji wa sera...
Inawezekana kabisa wale waliomualika walilenga "mambo mengine" lakini sasa jambo hilo limegeuka kuwa la moto na limebabua Dira yenyewe.
Ni kweli kwamba Mbowe anajadiliwa kwa Negative na Positive (sitajadili hilo leo), lakini sasa ni dhahiri kwamba uzinduzi huo umetekwa na mahudhurio ya Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.