diogo jota

Diogo José Teixeira da Silva (4 December 1996 – 3 July 2025), known as Diogo Jota, was a Portuguese professional footballer who played as a forward or left winger. Jota was known for his clinical finishing, explosive pace, and dribbling ability.
Jota started his career with Paços de Ferreira, before signing for La Liga club Atlético Madrid in 2016 with his cousin Ronaldo. After two seasons in the Primeira Liga, he was consecutively loaned to Primeira Liga club FC Porto in 2016 and EFL Championship club Wolverhampton Wanderers in 2017. Having helped them gain promotion to the Premier League, he joined the club in 2017 for a reported €14 million and went on to make 131 appearances for them, scoring 44 goals. In 2020, he signed for Liverpool for a fee reported to be £41 million.
Jota was a former Portugal youth international, representing his country at under-19, under-21 and under-23 levels. He made his senior international debut in November 2019 and was chosen in the squads for the 2022 World Cup and two European Championships (2020 and 2024). He also won the UEFA Nations League in 2019 and 2025.
Jota died in a car crash with his brother in Palacios de Sanabria, Spain, on 3 July 2025.

View More On Wikipedia.org
  1. Busu la Kenge

    Mashabiki wa mpira waislamu kwenye mitandao ya kijamii wameonywa kuandika R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi

    Mashabiki wa mpira waislamu wameonywa na kutahadharishwa kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe wa maandishi R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi na kinyume na mafundisho ya kiislam kwasababu Diogo Jota ni kafiri. Muislam hatakiwi kufanya dua Kwa kafir. Diogo Jota 28 kiungo mshambuliaji wa klabu...
  2. Powell Gonzalez

    Kwa heshima ya Diogo Jota, Liverpool imestaafisha jezi namba ishirini

    Kwanzia sasa Hakuna mchezaji atakaevaa Jezi namba ishirini pale Liverpool, Jezi imestaafishwa kama heshima kwa Diogo Jota. RIP Jota, na Ahsante Liverpool kwa kutambua mchango wake!
  3. Daraja2

    Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  4. The Zanzibar Echo

    Pumzika kwa amani Diogo JotaPumzika kwa amani Diogo Jota

    Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania.Ibada ya mazishi ilifanyika katika kanisa la Igreja Matriz katika mji wa Gondomar, Ureno, ambako Jota...
  5. R

    Simanzi Mazishi ya Mchezaji wa Liverpool, Diogo Jota

    Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake André Silva, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania Ibada ya mazishi ilifanyika katika kanisa la Igreja Matriz katika mji wa Gondomar, Ureno...
  6. Powell Gonzalez

    RIP Diogo Jota special threads

    Mashabiki wa Liverpool, mashabiki wa EPL pamoja na mashabiki wa mpira wa Miguu kwa ujumla kwa humu jamii forums. Uzi huu ni kwa ajili ya kumuenzi na kumkumbuka mchezaji wetu pendwa Diogo Jota. Weka picha, salam za pole kwa mashabiki wake, nk!
  7. DuaZaMama

    Liverpool wastaafisha jezi ya Diogo Jota

    Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno. Soma,Pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari Jota alipata ajali hiyo leo...
  8. Dalton elijah

    TANZIA Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari

    Mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari huko Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ureno. Inaripotiwa kuwa Jota alikuwa akisafiri ndani ya gari pamoja na kaka yake Andre, ambaye naye ni mchezaji wa mpira wa miguu...
Back
Top Bottom