Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana
Kwa taarifa yao ni kuwa
-Muumba hawaelewi
-Serikali...
TUMEJENGA MAKANISA, TUMESAHAU NAFSI
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Watu wamejenga makanisa. Wamejenga baa. Wamejenga viwanja vya mpira. Lakini hawajajenga nafsi zao. Hawajajenga sehemu za nafsi kutulia. Tanzania ni nchi inayosonga mbele kwa kasi ya nondo, lakini moyoni tumebeba bomu la kimya...
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli.
Leo nitaitoa ishara moja tu.
1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri.
Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa?
Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu
JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA?
Kwa ufupi Serikali haina haki ya kuzuia haki na uhuru wa watu kuabudu na kuwang'anya haki yao ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.