diamond

  1. Diamond Platnumz, jiandae kufa kisanii endapo utakubaliana na mikakati ya CCM

    Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia Platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015.. Zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili atangaze sera za chama na kuvuta watanzania wakipigie kura hiki chama kiingie ikulu kwa mara ya tano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…