Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.
Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.
Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili...
Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo.
Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
Kuna nchi nimeenda, wana madhehebu mengi sana ya Kikristo, na kila mtu katika nchi hiyo anajisikia vizuri sana kuitwa Mkristo. Kama huna habari, kuna faida nyingi madhehebu yanapokuwa mengi. Hizi hapa ni faida za kuwa na madhehebu mengi ya Kikristo, katika nchi yoyote:
Madhehebu yanapokuwa...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayolenga kusababisha kufungiwa makanisa na viongozi wa Kikristo kupigwa kama yule Askofu aliyepigwa na wasiojulikana (Kwa sababu hawakutambulika), vile kina Askofu Gwajima na wenzake ambao watajaribu kuongea chochote kuhusu siasa wamekuwa wakivamiwa Moja kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu umeletwa kwa wenye hekima na tafakuri ya kina wakiwemo Wanazuoni
Kwanini waruhusiwe kwenye nchi takatifu ya Maka na Madina kama ni kweli wamekuwa wakitoa kauli zisizofaa dhidi ya Maswahaba walioulingania Uislamu?
https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg
Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona .
Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.