Leo tunakwenda almost mwezi wa saba, kijana Deusdedith Soka ma wenzie wamepotezwa. Umma ulipiga kelele mwanzoni, leo umekaa kimya.
Chama chake nacho kimejikalia kimya, hakihangaiki tena na kijana wao, kada wao. Hakuna wa kumsemea!
Kijana jasiri, mzalendo na mpenda nchi yake, nuru yake imezimwa...