deo sanga

Deo Kasenyenda Sanga (born 1 January 1956) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Njombe North constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Deo Sanga: CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa

    "CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa. Huko ukienda kwenye majimbo, kazi zilizofanywa na Dkt. Samia ni kubwa haijawahi kutokea, haijawahi kutokea! Ukienda kwenye afya, ukienda kwenye maji...kwenye afya zipo zahanati na hospitali zingine zinakosa wagonjwa",- Sanga. Aliyekuwa...
  2. GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

    Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea. Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini Njombe, katika kampeni za mgombea wa Urais wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, amemkosoa...
  3. R

    GE2025 Kimeumana huku, Mtia nia Ubunge CCM Jimbo la Makambako Deo Sanga, akijibu swali la Mwananchi kuhusu Mitungi ya gesi aliyodai kugawa

    Sikilizeni hii wakuu, Mtia nia nafasi ya ubunge Jimbo la Makambako kupitia chama cha mapinduzi jimbo la Makambako Deo Sanga akijibu swali la katibu wa mtaa wa bwawani umoja wa wanawake Grolia Nyaluke.
  4. GE2025 Sanga: Hata kama mimi ni mzee bungeni siendi kubeba mawe

    Mtia nia wa ubunge wa jimbo la Makambako Deo Sanga,akizungumza na wajumbe wa kata ya Makambako akiwaomba wamchague, zikiwa zimesalia saa chache kwa wajumbe kuchagua watakao beberusha bendera ya chama cha mapainduzi CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Chanzo: Elolama Fm
  5. GE2025 Deo Sanga aahidi kuwajengea raia eneo la kupunguza mawazo

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) akiomba kura kwa wajumbe wa CCM katika kata ya Kitisi amesema kuwa endapo akipata ridhaa kwa mara nyingine ya kuwa mwakilishi wao Bungeni atahakikisha anafanikisha ujenzi wa bustani kwa ajili ya wananchi kupunguza mawazo...
  6. PreGE2025 Mbunge, Deo Sanga: Wanaochora Katuni za kumkashifu Rais washughulikiwe, Rais wetu anaheshimika ndani na nje ya nchi

    Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga, ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachukulia hatua wote wanaoeneza ujumbe wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani ya nchi, ikiwemo kuchora vibonzo vyenye taswira ya Rais kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli. Akizungumza bungeni jijini Dodoma...
  7. PreGE2025 Mbunge Deo Sanga kufikishwa kamati ya maadili kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga (Jah People) anatarajiwa kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Wilayani Njombe, kufuatia tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi. Sanga anatuhumiwa kujinasibu hadharani kuwa ndiye aliyegharamia safari...
  8. Hivi rais kuhidhinisha pesa ili zifanye kazi ni hisani au ni wajibu?

    Wakuu Heshima mbele kwanza. Msikilize hapa mbunge wa makambako Deo sanga👇 Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema kuwa wanamekuwa wakimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu yeye ndiye anayeidhinisha fedha kwenda kutekeleza miradi mbalimbali kwenye majimbo. Sanga amesema hayo wakati...
  9. Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
  10. Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  11. Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

    Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais. Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha. Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…