demokrasia ya kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghayo El Yehudi

    Marekani hawana demokrasia ya kweli ; ofisa katolewa nje kama mbwa kisa kupinga vita dhidi ya Iran

    Mzuka wana jamvi . Nimeshangaa Marekani inayosifika kwa demokrasia na uhuru wa maoni Jana nimeona clip ya ofisa mstaafubwa jeshi akitolewa kwa nguvu kama takataka kisa kupinga Marekani kutumia na Israel kuingia vitani kipuuzi. Jamaa alivyoanza kupiga spana tu polisi walimtoa nje kwa nguvu...
  2. Keynez

    Mambo haya yafanyike ili kujipanga upya kwa Season 2 ya kudai haki na demokrasia ya kweli nchini

    Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili nafasi nyingine ikipatikana iwe bora zaidi. 1. Ni muhimu kuwa na viongozi on the ground. Hawa...
  3. peno hasegawa

    Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  4. Just Pray

    PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  5. Username 20

    Watanzania bado tuna safari ndefu sana kuifikia Demokrasia ya kweli

    Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV)...
  6. Kaka yake shetani

    Demokrasia ikikosekana husababisha machafuko

    Wote tunajifunza kulingana yaliyotangulia mbele ndio maana viongozi wakitumia sana kusema nchi ya amani na ujanja wa kusema tanzania ni wapore na wakilimu. Ila hawa fahamu kuwa mwendelezo wao unaweza kuzaa haya kama demokrasia ikishakosekana ujikuta hivi: Ukosefu wa Toleransi na Ubaguzi wa...
  7. R

    Demokrasia bila ushirikishwaji wa wananchi ni Demokrasia?

    Mfumo wa Demokrasia unahitaji wananchi kushirikishwa katika maamuzi ya nchi yao kwa kuchagua viongozi na kutoa maoni yao kuhusu sera na sheria. Ushiriki wa wananchi sio tu msingi wa mfumo huu bali pia ni njia ya kuhakikisha kwamba serikali inawajibika vilivyo kwa maslahi ya wananchi wake...
Back
Top Bottom