Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzulu
5.Utekaji ukome.
Mto wa...