dcea tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mamlaka za Zanzibar (DCEA) imekamata dawa za kulevya zilizofichwa kwenye pipi, chocolate, korosho na shisha

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (DCEA), kwa kushirikiana na Kikosi Kazi cha Uhalifu wa Kupangwa Zanzibar (ZTOCTF), imebaini mbinu mpya zinazotumiwa kusafirisha dawa za kulevya kwa kuzificha ndani ya bidhaa za kawaida zinazotumiwa na wananchi kila siku. Katika...
  2. Inside10

    Gramu 326.46 za Cocaine zampeleka Horohoro jela maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46. Hukumu hiyo ilisomwa tarehe 23 Septemba...
  3. Poppy Hatonn

    DCEA yanasa Jahazi la kiPakistan Bahari ya Hindi likiwa na Methamphetamine 670 kg

    Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo. Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi Meth ni stimulant ya Central Nervous system. Vijana wanaitumia kuongeza energy na imani. Pia inasemekana inapunguza...
  4. Pfizer

    Dodoma: Hatimaye kinara wa dawa za kulevya, Suleiman Mbaruku Suleiman aka Nyanda adakwa

    MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma, Suleiman Mbaruku Suleiman maarufu Nyanda mwenye umri wa miaka 52 ambaye mamlaka hiyo ilikuwa inamfuatilia kwa karibu kwa muda mrefu. Nyanda alikuwa na mwenzake Kimwaga Msobi Lazaro...
Back
Top Bottom