Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto.
Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam.
Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka...