Wakuu baada ya Jaji Warioba kueleza kuwa watu waliofariki Oktoba wakati wa maandamano ni wengi kuliko waliofariki kwenye vita ya Kagera Mchungaji Daudi Mashimo ameibuka na kohoji ni wapi Jaji Warioba alipozipata takwimu hizo?
"Watu waliokufa mpaka sasa Tanzania hakuna mwenye takwimu kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.