Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa.
Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta nikakaza niaje basi juzi kati tukapanga kuwa leo ndio tutakutana fasi za niaje tuendelee kuyajenga...