daktari wa mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Daktari wa mifugo

    Habari zaa mudaa huu....Mimi ni DAKTARI WA MIFUGO nipo Dar es salaam Kwa mtu atakayehitaji ushauri wa kidaktari karibunii sana,ofisi ipo Tegeta azania ila tunafika popote ulipo.Tunahudumia wanyama wote mbwa,paka,ng'ombee,mbuzi,kuku,kondoo,sungura Kwa mawasiliano:0684918177
  2. R

    Madaktari wa mifugo wa Kata walikwenda wapi? Naiomba Mganga Mkuu wa Migufo wa Mkoa

    Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata. Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani. Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata
Back
Top Bottom