Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Jumanne May 20, 2025 ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha ambapo amesema kwa sasa yeye ni Mpiga kura halali wa...
Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa daftari la Mpiga kura inaweza kuwa mojawapo ya changamoto inayokatisha watu tamaa ya Kwenda kupiga kura.
Baada ya miaka 10 mingine we are not expecting kuona changamoto tulizoziona mwaka huu na ningependekeza yafuatayo:
Kutumia Teknolojia: Tunahitaji...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mhe. Ummy ametoa wito huo, Februari 14...
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Ukwaju amesema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi ngazi ya...
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa katika mafunzo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyofanyika katika Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.