dabi kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
  2. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC wenzangu hapa JF tumejiandaaje kupokea tamko rasmi la Uongozi wa Yanga SC kupitia Rais wetu Injinia Hersi kuwa tutacheza tarehe 15 Juni?

    Kuna Mtu kaambiwa Yanga SC isipocheza ausahau Ubunge Ilala au Kigamboni na Kampuni itaanza kudaiwa Kodi rasmi.
  3. Ubaya Ubwela

    Tetesi: Tetesi mechi Yanga Vs Simba imepangwa kufanyika baada mapumziko ya michezo ya kimataifa na mgeni rasmu ataku Rais Samia Suluhu Rais

    Tetesi Zinasema Mechi kati ya vigogo hao itachezwa baada mapumziko ya mechi za kimataifa Na mgeni rasmi inasemekana atakua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani Tuone sasa kama kuna mtu atagomea kuleta timu uwanjani
  4. Holoholo-Baba Kijacho

    Kibu Denis Kuikosa Kariakoo Derby Jumamosi hii

    Wakuu, Taarifa za kuaminika ndani ya uongozi wa klabu ya Simba SC zinaeleza,Kibu Denis amepata majeraha ya kifundo cha mguu,yatakayomuweka nje kwa takribani wiki 6,hivyo atakosekana uwanjani siku ya jumamosi, Ikumbukwe Kibu D ni mchezaji chaguo la kwanza la kocha Fadlu Davis katika karibia...
Back
Top Bottom