cv za wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    PreGE2025 Taarifa za wabunge katika tovuti ya bunge kujaa walakini, wabunge wengi wana vyeti feki, degree za kununua au mhariri alipitiwa?

    Aisee, ni vituko ukipita kwenye CV za wabunge, ukiachana na wale darasa la saba kuna maswali mengi kwenye elimu za wabunge kitu kinachoashiria udanganyifu mahala. Ama wamesomewa elimu hizo au walitoa pesa tu wakapewa vyeti. Maana huwezi ukawa umesoma na kupata cheti kihali halafu uache taarifa...
  2. B

    PreGE2025 Mbunge Tauhida aliyetuita Kenge kasoma O-level kwa miaka 16 na kasoma Diploma na form 5 na 6 wakati mmoja. Bunge the math ain't mathing!

    Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli? Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo akapata cheti na akaenda shule nyingine akapata cheti pia, haya ni maajabu! Hajaishia hapo akapiga...
  3. B

    PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

    Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi. - Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini! - Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti. - Tatizo...
  4. Tovuti ya bunge kuna CV za ajabu alafu baada ya wakenya kuhoji CV sasa kuna taarifa za tovuti ndani ya bunge

    Cv za bunge kusikia mtu kasoma shirika la NASA USA elimu ya ngoma na sanaa ni kawaida. Tupate vichekesho hivi kwenye tovuti za bunge.
  5. PreGE2025 Elimu ya Shigongo inatia mashaka. Aliyeelewa kipengele hiki kwenye elimu ya Mbunge Eric Shigongo naomba anieleweshe!

    Wakuu, Nilikuwa napitia CVs za wabunge leo. Kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu huyu Mbunge wa Eric Shigongo. According to his CV huyu mwamba alisoma Gedeli Primary School kuanzia 1977 had 1983. Alafu kuanzia 1983 hakuna sehemu inaonesha kama alienda Form 4 na Form 6 au kwenda Certificate...
  6. PreGE2025 Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa la 7. Mbunge wako yupo?

    Wakuu, Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu. Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta...
  7. Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

    Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
  8. PreGE2025 Tusaidianeni. Kwanini wabunge wengi wamepata Bachelors na Masters kutoka Open University? Kuna siri gani kwenye hicho chuo?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu. Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University: Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa Kilombero – Bachelor of Arts in Political Science Innocent Bashungwa – Mbunge wa Karagwe – Masters of...
  9. PreGE2025 Geita: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. MBUNGE WA BUKOMBE - Dotto Biteko Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ubunge: Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bukombe mkoani Geita mwaka 2015 na alishinda kwa kura 71,640 dhidi ya 11,433 za mpinzani wake. Wadhifa wa Kiserikali: Aliteuliwa kuwa Waziri wa Madini mwaka 2019 na alihudumu hadi...
  10. PreGE2025 Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

    Wakuu, Hii hapa ni orodha ya CV za wabunge kutokana na Mkoa husika wa anapotokea Mbunge. Hapo utapata taariza zake kwa ufupi kuhusu wasifu wao kwa ujumla na mambo mbalimbali waliyofanya kwenye uwanda wa siasa na hata nje ya hapo. Kuelekea 2025 - Arusha: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge...
  11. PreGE2025 Lindi: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. Francis Kumba Ndulane - Mbunge wa Kilwa Kaskazini Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 20,501, akimshinda Ngombale Vedasto Edgar wa CUF aliyejikusanyia kura 8,513. Elimu: Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Uwanjani...
  12. PreGE2025 Dodoma: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. MBUNGE WA BAHI - Kenneth Ernest Ollo Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 40,628 dhidi ya Godfrey Job (CUF) aliyepata kura 1,756. Michango Bungeni: Alitoa michango 21 na kuuliza maswali 36 kati ya mwaka 2021 hadi 2023. Elimu: Shule ya Msingi...
  13. PreGE2025 Iringa: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Jesca Jonathan Msambatavangu – Mbunge wa Iringa Mjini Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Peter Msigwa wa CHADEMA) Elimu: Shule ya Msingi Iwawa (1987-1988) Shule za Msingi Madilu na Luvuyo Kilakala Secondary School (1989-1992) – CSEE...
  14. PreGE2025 Ruvuma: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    1. Mbunda Jonas William - MBUNGE WA MBINGA MJINI Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM) Kura: 26698 (2020) Elimu na Taaluma Yake Strathclyde University, UK: Master of Science in Finance (2005–2006) Shahada ya Uzamili (Masters Degree) Cooperative College - Moshi: Advanced Diploma in Accounting...
  15. PreGE2025 Mara: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro kutoka CHADEMA aliyejikusanyia kura 5,596. Elimu: Elimu ya Msingi: Iramba Primary School (1974 -...
  16. PreGE2025 Shinyanga: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. Jumanne Kibera Kishimba - Mbunge wa Kahama Mjini Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 35,709, akimshinda Sonia Jumaa Magogo wa CHADEMA aliyejikusanyia kura 10,740. Elimu: Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Shule ya...
  17. PreGE2025 Songwe: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. George Ranwell Mwenisongole - Mbunge wa Songwe Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kura 40,834, akimshinda mpinzani wake Pascal Yohana Haonga kutoka CHADEMA, aliyejikusanyia kura 18,054. Elimu na Taaluma: Elimu ya Msingi...
  18. PreGE2025 Tanga: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. Kwagilwa Reuben Nhamanilo – Mbunge wa Handeni Mjini Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alipata kura 15,241, akimshinda Thadeo Joachim Assechekamwati kutoka CUF ambaye alipata kura 6,713. Kazi Bungeni: Tangu mwaka 2021, amekuwa katika Kamati ya...
  19. PreGE2025 Kigoma: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. Philip Isdor Mpango – (Mbunge wa Buhigwe) Makamu wa Rais wa Tanzania Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kuwa mbunge wa Buhigwe. Elimu Alisoma katika shule za msingi na sekondari huko Kigoma na alihitimu kutoka Ihungo High School...
  20. PreGE2025 Manyara: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Wakuu, 1. Samweli Xaday Hhayuma – Mbunge wa Hanang Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Samweli alipata kura 14,203, akimshinda Kiza Hussein Mayeye kutoka CHADEMA ambaye alipata kura 20,342. Michango Bungeni: Samweli ameleta michango 34 na kuuliza maswali 68...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…